WAZIRI MKUU MAJALIWA AZINDUA MRADI WA UBORESHAJI HUDUMA ZA UMEME JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, (katikati) na Viongozi wengine kutoka kushoto, Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Palangyo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, (Waziri Mkuu), Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesmi Mramba, wakishangilia baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kituo cha
kituo cha cha udhibiti na usimamizi wa mifumo ya usambazaji umeme katika jiji la Dar es salaam kilichoko Mikocheni jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu na wageni wengine wakitembelea chumba cha mitambo yaudhibiti na usimamizi wa mifumo ya usambazaji umeme Distribution SCADA System
Waziri Mkuu akitembeela moja ya mitambo inayopatikana kwenye kituo chicho (Server)
Mtaalam wa mitambo, wa shirika la Umeme Nchini Tanzania, (TANESCO), Bi, Mwajua Turkey, kushoto, akimpatia maelezo waziri mkuu wakati akitembelea kituo hicho muda mfupi kabla ya kukizindua rasmi
Waziri Mkuu, akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi huo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (wapili kushoto), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, (wapili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Palangyo, (kushoto) na Waziri Kai(kulia), wakishangilia baada ya uzinduzi
- Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, (katikati) na Viongozi wengine kutoka kushoto, Mwenyekiti wa Bodi ya TANESCO, Dkt. Alexander Kyaruzi, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Palangyo,Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, (Waziri Mkuu), Waziri wa Biashara na Maendeleo wa Finland, Kai Mykkanen, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesmi Mramba, wakishangilia baada ya kukata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa kituo cha
- kituo cha cha udhibiti na usimamizi wa mifumo ya usambazaji umeme katika jiji la Dar es salaam kilichoko Mikocheni jijini Dar es Salaam
- Waziri Mkuu na wageni wengine wakitembelea chumba cha mitambo yaudhibiti na usimamizi wa mifumo ya usambazaji umeme Distribution SCADA System
- Waziri Mkuu akitembeela moja ya mitambo inayopatikana kwenye kituo chicho (Server)
- Mtaalam wa mitambo, wa shirika la Umeme Nchini Tanzania, (TANESCO), Bi, Mwajua Turkey, kushoto, akimpatia maelezo waziri mkuu wakati akitembelea kituo hicho muda mfupi kabla ya kukizindua rasmi
- Waziri Mkuu, akifungua kitambaa kuashiria uzinduzi huo
- Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, (wapili kushoto), Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo, (wapili kushoto), Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Dkt. Juliana Palangyo, (kushoto) na Waziri Kai(kulia), wakishangilia baada ya uzinduzi
TANESCO YASAINI MKATABA WA UJENZI WA 400KV UTAKAOUNGANISHA KENYA NA TANZANIA
- Mhandisi Mramba, (kushoto), na Mkurugenzi wa Kampuni ya Energoinvest, Bisera Hadzialjevic, wakisaini mkataba kutekeleza mradi huo.
- Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO, Mhandisi Felchesmi Mramba, (kushoto), na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara ya Kimataifa wa kampuni ya Bouygues Energies&Service, Patrick Canton wakisaini mkataba huo
- Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Tanzania, (TANESCO), Mhandisi Felchesmi Mramba, (kushoto), akibadilishana hati za mkabata na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara ya Kimataifa wa Kampuni ya Bouygues Energies&Service, Patrick Canton.
- Mhandisi Mramba, (kushoto), na S.K. Sarotra, Makamu wa Rais msaidizi wa Kampuni ya KALPA-TARU, wakisaini mkataba.
- Mkurugenzi Mkazi wa AfDB nchini, Tonia Kandiero, akizungumza kwenye hafla hiyo.
MRADI WA BACKBONE WA KV 400 KUMALIKA OCTOBA, 2016
- Meneja Mradi wa BackBone, Mhandisi Khalid James (kushoto) akitoa maelezo kwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo kuhusu mradi wa usafirishaji umeme kV 400 kutoka Iringa hadi Shinyanga.
- Mafundi wa Kampuni ya Joyti Structures Ltd wakiunganisha moja ya nguzo za kusafirisha umeme zenye uwezo wa kV 400 kutoka Dodoma hadi Singida.
- Mhandisi Oscar Kanyama (kushoto) kutoka mradi wa BackBone akitoa maelezo kuhusu mradi huo wa usafirishaji umeme wa kV400 kwa Waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo katikati). Kulia ni Meneja Mradi wa BackBone, Mhandisi Khalid James.
- Baadhi ya nguzo zilizokwisha kamilika ambazo zitasafarisha umeme wa kV 400 kutoka Iringa hadi Shinyanga.