Hii ni kwa mita zinazoanza na namba 24. Kutatua bonyeza 0 kisha andika namba ya mita halafu 0 namba ya mita ikifuatiwa na alama ya kukubali. Mfano - nambari ya mita ni 24210012605 fanya hivi 024210012605024210012605 ikifuatiwa na alama ya kukubali.