Wakati mita inafungwa inakuwa na unit 50 ambazo mteja anakopeshwa kipindi ambacho taarifa za mita iliyofungwa inaingizwa kwenye mifumo yetu, hivyo mteja anapofanya manunuzi kwa mara ya kwanza hulipia kwanza unit alizokopeshwa.