MAFANIKIO KATIKA UZALISHAJI UMEME 2022/2023
Uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya taifa ongezeko 14.2%
Read More
MAFANIKIO KATIKA UZALISHAJI UMEME 2022/2023
Uwezo wa mitambo ya kufua umeme iliyounganishwa katika mfumo wa Gridi ya taifa ongezeko 14.2%
Miundombinu ya kusafirisha umeme imeongezeka na kufikia jumla ya urefu wa kilomita 7,745.4 ikiwa ni ongezeko la asilimia 21.7 ikilinganishwa na kilomita 6,363.3 za mwaka 2022/2023
#BajetiyaNishati2024/25
MAFANIKIO MIRADI YA KUZALISHA UMEME 2023/24
JNHPP MW 2,115 umeanza kuzalisHa MW 235 kupitia mtambo Namba 9
Kukamilika kwa ujenzi wa mitambo ya kufua umeme ya Kinyerezo Extension MW 185
Kukamilika kwa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Rusumo...
Read More
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY