Miundombinu ya Kusafirisha umeme imeongezeka kwa 21.7%
#BajetiyaNishati2024/2025
Read More
Tahadhari za kiusalama kipindi cha mvua
1. Usiguse nyaya yoyote iliyokatika au kuanguka chini
2. Epuka kukaa chini ya mti au matawi yaliyo karibu na laini za umeme
3. Usiruhusu watoto kucheza karibu na laini za umeme
4....
Read More
TANESCO YAMKABIDHI MKANDARASI UJENZI WA NJIA YA UMEME CHALINZE -DODOMA
Na. Shamu Lameck
Pwani
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limefanya makabidhiano kwa Kampuni ya TBEA ya China Mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme yenye...
Read More
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY