Upepo wa Kimbunga Hidaya umeanza kuleta athari kwenye miundombinu ya umeme hasa baadhi ya maeneo ya ukanda wa Pwani kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara na Pwani. Hali hii inaweza kuleta madhara kwa watu pamoja na mali...
Read More