Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) imekamilisha ujenzi wa mradi wa umeme wenye thamani ya shilingi bil. 2.9 wa kuunganisha Wilaya ya Ngorongoro kwenye grid ya taifa.
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati imeagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuendelea kununua nguzo za umeme kutoka kwa wazawa Kwa kuzingatia viwango vya ubora vinavyokubalika.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Aprili 27, 2022 katika kikao na wadau mbalimbali wa umeme limetoa mrejesho wa utekelezaji uboreshaji wa huduma ya umeme nchini.
Mwenye nyumba yangu anatutoza bei ya umeme kubwa zaidi kuliko TANESCO, nifanye nini? +
Wateja wanapaswa kulipa bei ile ile ambayo shirika linatoza,hakuna anaruhusiwa kuuza umeme bila kibali cha mamlaka zinazohusika.Aidha wateja wanashauriwa kuhakikisha
Inategemea, endapo taarifa mteja aliyotoa itapelekea kukamatwa kwa mtuhumiwa na kudhihirika kuwa anaiba umeme, shirika litafanya hesabu na kubainisha kiasi