• Nikonekt

  New Power Supply Applications Read More
 • JULIUS NYERERE HYDROPOWER PROJECT

  MW 2115
 • We light up your life

  TANESCO is the sole provider of electricity in Tanzania
 • Industrial Economy

  TANESCO is ready to light-up industries that will propel growth in Tanzania
 • Enjoy fast and reliable Customer Service

  Our customers are at the heart of our organization
 • Conserve Energy

  Choose The Most Economical, Efficient And Eco-Friendly Lighting Solution.
 • Mission Critical

  Reliable power sustains critical facilities in the health sector
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5
 • 6
 • 7

Mobile Menu

Highlights

 • News and Events
image
Mei 07, 2022
Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Umeme nchini (TANESCO) imekamilisha ujenzi wa mradi wa umeme wenye thamani ya shilingi bil. 2.9 wa kuunganisha Wilaya ya Ngorongoro kwenye grid ya taifa.
image
Mei 03, 2022
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Nishati imeagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Umeme Vijijini (REA) kuendelea kununua nguzo za umeme kutoka kwa wazawa Kwa kuzingatia viwango vya ubora vinavyokubalika.
image
Mei 03, 2022
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Aprili 27, 2022 katika kikao na wadau mbalimbali wa umeme limetoa mrejesho wa utekelezaji uboreshaji wa huduma ya umeme nchini.

Frequently Asked Questions

 • Je unazijua taratibu za kufuata ili kufungiwa umeme na TANESCO? +

  HATUA YA KWANZA* *(MAOMBI YA MWANZO

  ?Mteja anaweza kuchukua fomu ya maombi ya umeme katika ofisi yeyote ya shirika ndani

  Read More
 • Nataka kufunga mita ya pili kwenye nyumba yangu ili nijitenganishe na wapangaji, nifanye nini? +

  Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba

  Read More
 • Mwenye nyumba yangu anatutoza bei ya umeme kubwa zaidi kuliko TANESCO, nifanye nini? +

  Wateja wanapaswa kulipa bei ile ile ambayo shirika linatoza,hakuna anaruhusiwa kuuza umeme bila kibali cha mamlaka zinazohusika.Aidha wateja wanashauriwa kuhakikisha

  Read More
 • Natumia mita ya remote/King’amuzi kuna mpangaji ameondoka au ameharibu king’amuzi, nifanye nini? +

  Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili

  Read More
 • Je nikifichua mwizi wa umeme napewa zawadi? +

  Inategemea, endapo taarifa mteja aliyotoa itapelekea kukamatwa kwa mtuhumiwa na kudhihirika kuwa anaiba umeme, shirika litafanya hesabu na kubainisha kiasi

  Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4
 • 5

SURVEY

Click here to take our                          CUSTOMER SATISFACTION SURVEY