loading...

Zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU sasa ni zamu yenu linawafikia hivi karibuni . Msiache kufatilia taarifa kwenye mitandao yetu ya kijamii  na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili . Usibaki nyuma!!     #MaboreshoLUKU#MitaYakoTunaKaziNayo