TAARIFA MUHIMU KWA WATEJA WA MIKOA YA DAR ES SALAAM NA PWANI
Zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU limeanza rasmi leo Jumatatu, 22 Julai , 2024 .
Endelea kufatilia taarifa kwenye mitandao yetu ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili .
Usibaki nyuma.
#MaboreshoLUKU#MitaYakoTunaKaziNayo