loading...

ZIARA YA MHE. DKT. DOTO MASHAKA BITEKO (MB.); NAIBU WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA WAZIRI WA NISHATI  YA KUKAGUA MRADI WA KITUO KILICHOKAMILIKA UJENZI WAKE CHA KUPOKEA, KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA UHURU   - WILAYANI URAMBO MKOANI TABORA TAREHE 02 MEI 2025