loading...


Tupo kazini kuhakikisha unapata elimu sahihi kuhusu huduma zetu za umeme. 

Tembelea banda letu upate maelezo, taarifa na majibu ya maswali yako moja kwa moja kutoka kwa wataalamu wetu.  

Tupo Kazini, Tupo kukuhudumia!