Tahadhari za kiusalama kipindi cha mvua
1. Usiguse nyaya yoyote iliyokatika au kuanguka chini
2. Epuka kukaa chini ya mti au matawi yaliyo karibu na laini za umeme
3. Usiruhusu watoto kucheza karibu na laini za umeme
4. Epuka kukaa au kufanya shughuli yoyote chini ya miundombinu ya umeme
Kwa hitilafu yoyote tafadhali toa taarifa kupitia simu namba au WhatsApp namba 0748550000