MHE. MAKAMBA ATEMBELEA KITUO CHA KUFUA UMEME CHA MTERA
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Salome Makamba ametembelea Kituo cha kufua umeme cha Mtera na kujionea shughuli mbalimbali za uzalishaji umeme na namna kituo hicho kinavyoimarisha hali ya upatikanaji wa umeme mikoa ya Iringa na Dodoma.