MAFANIKIO MIRADI YA KUZALISHA UMEME 2023/24
JNHPP MW 2,115 umeanza kuzalisHa MW 235 kupitia mtambo Namba 9
Kukamilika kwa ujenzi wa mitambo ya kufua umeme ya Kinyerezo Extension MW 185
Kukamilika kwa Mradi wa Kuzalisha Umeme wa Rusumo ambao unachangia MW 26.7 katika Gridi ya Taifa
Kuanza kwa ujenzi wa mradi wa kuzalishs umeme jua Mkoa Shinyanga wa MW 150
#BajetiyaNishati2024/25