loading...

Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere unatarajiwa kukamilika Disemba ,2024 kwa mitambo nane (8)iliyobaki kati ya tisa(9)yenye uwezo wa kuzalisha MW 235 kila moja kuwa inazalisha umeme