Upanuzi wa kituo cha huduma kwa wateja(Call center)kwa kuongeza vifaa na wapokea simu kutoka mawakala 63 hadi 100
Kuanzishwa mfumo unaomuwezesha mteja kuhudumiwa kwa haraka bila kupiga simu kwa njia ya ujumbe wa simu(CHATBOT)
Kuanzisha mfumo unaomuwezesha wateja kupata taarifa za hali ya upatikanaji wa umeme kwa njia ya ujumbe wa simu.