loading...

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kupitia idara ya usalama imetunukiwa tuzo ya msindi wa pili katika sekta ya uzalishaji umeme Tanzania,tuzo ambazo zimetolewa April 30,2024 na OSHA wakati wa kufunga maonesho ya kitaifa ya usalama na afya mahala pa kazi yaliyofanyika Njiro jijini Arusha.