loading...

TANESCO tunayo furaha kukutaarifu kuwa tumeteuliwa kuwania Tuzo za Tanzania Digital Awards (TDA) katika vipengele vya BEST GOVERMENT PAGE OF THE YEAR na BEST GOVERMENT AGENCY ON DIGITAL.  Hivyo, tunaomba kura yako ya thamani kwetu, ili tuweze kushinda pamoja. Kupiga kura ingia tovuti ya: https://digitalawards.co.tz  kisha fuata hatua hapo juu. Asante sana kwa kura yako.