Kazi kubwa inafanyika kwenye utekelezaji wa Miradi tazama hapa Mkurugenzi Mtendaji Mha Gissima Nyamo-Hanga alipofanya ziara ya ukaguzi wa vituo vya kupokea kupoza na kusambaza umeme vya Urambo na Nguruka tarehe 22/05/2024 aridhishwa na kasi kubwa ya ujenzi iliyofanywa ambapo ndani ya kipindi cha miezi miwili ujenzi wa kituo cha Urambo umeendelea hadi kufikia asilimia 92 #tunatekelezaMiradi#MDMkoakwaMko