loading...

Tazama jinsi Kazi ya ujenzi wa Mradi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme Kidahwe mkoani Kigoma inaendelea na ikikamilika itasaidia kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Kigoma na maeneo jirani Mha Gissima amekutana na kuzungumza na wanatanesco Kigoma #TunatekelezaMiradi#MDMkoakwaMkoa