loading...

Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea banda la TANESCO katika kongamano la miundombinu Afrika (FIDIC) linalofanyika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.