loading...

Shirika la Umeme Tanzania,linawatangazia wateja wake wote wa Mikoa ya Mbeya na Songwe kuwa kuna katizo la dharura la umeme  kwa muda wa masaa matatu.