Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limekabidhiwa tuzo ya uhifadhi wa mazingira katika kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Mazingira Kitaifa yaliyofanyika jijini Dodoma leo tarehe 05 Juni, 2025.
Tuzo hiyo imetolewa kutambua mchango wa TANESCO katika kuhifadhi mazingira...
Read More