Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Juma Khatibu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi mzuri wa mradi huo ambao utaongeza umeme wa kutosha kwa nchi na kuleta tija kiuchumi.
Read More
Mwenyekiti wa Kamati, Mhe. Juma Khatibu, ameipongeza Serikali kwa usimamizi mzuri wa mradi huo ambao utaongeza umeme wa kutosha kwa nchi na kuleta tija kiuchumi.
Tanzania kwa sasa tuna umeme wa kutosha,Kutokana na uwepo huu wa umeme,nitoe wito kwa wale wote wenye viwanda hakikisheni mnatumia uwepo wa umeme huu kwa ajili kuzalisha bidhaa
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe.Selemani Jafo akimkabidhi tuzo kwa niaba ya Mkurugenzi wa TANESCO afisa masoko Bi Jacqueline Lusozi ya mshindi wa kwanza upande wa taasisi za umma kwenye kipengele cha ubunifu na upekee wa banda katika...
Read More
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY