Katika kuhakikisha vitendo vya wizi na uharibifu wa miundombinu ya umeme vinakomeshwa nchini, TANESCO itawafikisha katika vyombo vya sheria baadhi ya wafanyabiashara waliobainika kutumia umeme kinyume na utaratibu baada ya kuchepusha baadhi ya Nyaya kwenye mita ili kuzifanya...
Read More