JNHPP 2115 ni ndoto ya Baba wa Taifa ambayo imetimia
Read More
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu avutiwa na teknolojia ya majiko bora ya umeme
Katika maonesho ya Wiki ya Vijana Kitaifa 2025 yanayoendelea katika Viwanja vya Uhindini, mkoani Mbeya, Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limeendelea kutoa elimu kuhusu...
Read More
RC CHALAMILA AZINDUA “PROGRAMU YA KONEKT UMEME PIKA KWA UMEME”
Aipongeza TANESCO kwa mpango wa ukopeshaji wa majiko wateja
wanaounganishiwa umeme
Asema ni wazo la kibunifu kuongeza wateja wa umeme na watumiaji wa umeme kupikia
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY