ANNOUNCEMENTS:

HIGHLIGHTS

NEWS & EVENTS

loading...
May 24, 2024

TANESCO NI KWA MARA NYINGINE TENA: Imeshinda tuzo ya Ukurasa Bora wa Serikali wa Mwaka (mitandao ya kijamii) kutoka Tanzania Digital Awards.  Asante kwa kura yako na kwa kuendelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.


Read More

loading...
May 23, 2024

Kazi kubwa inafanyika kwenye utekelezaji wa Miradi tazama hapa Mkurugenzi Mtendaji Mha Gissima Nyamo-Hanga alipofanya ziara ya ukaguzi wa vituo vya kupokea kupoza na kusambaza umeme vya Urambo na Nguruka tarehe 22/05/2024 aridhishwa na kasi kubwa ya ujenzi...
Read More

loading...
May 23, 2024

Tazama jinsi Kazi ya ujenzi wa Mradi wa kituo cha kupoza na kusambaza umeme Kidahwe mkoani Kigoma inaendelea na ikikamilika itasaidia kuimarisha hali ya upatikanaji wa umeme katika Mkoa wa Kigoma na maeneo jirani Mha Gissima amekutana na...
Read More

Showing 190-192 of 229 items.

FAQs

SURVEY

Customer Survey

Click here to take our

CUSTOMER SATISFACTION SURVEY