Karibu Kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho Mbeya ujionee utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Julius Nyerere.
Read More
Karibu Kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho Mbeya ujionee utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Julius Nyerere.
TANESCO imetoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda La TANESCO katika maonesho ya Biashara na Utalii yanayoendelea katika viwanja vya Usagara, Mkoani Tanga.
Akizungumza Mei 31,2024 katika Maonesho hayo, Meneja wa TANESCO Mkoa wa Tanga Mhandisi Mathias Solongo amesema...
Read More
Mahitaji ya umeme nchini sio anasa - Mhe. Dkt. Doto Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, wakati wa uzinduzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme cha Ifakara, Mei 31, 2024.
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY