Muonekano wa Kituo cha kupokea Kupoza na kusambaza Umeme kilichohengwa wilayani kilombero Ifakara kinatarajiwa kuzinduliwa kesho, Mei 31 na Dkt. Doto Mashaka Biteko, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati pamoja na Mhe. Christine Grau, Balozi wa Umoja...
Read More