MABORESHO YA MITA KWA MIKOA YA :
MWANZA
GEITA
KAGERA
SIMIYU
TABORA
SHINYANGA
KATAVI
Read More
Si kila majanga ya Moto chanzo chake ni nishati ya umeme wa TANESCO fungua usikilize elimu hii muhimu itakusaidia kupunguza uwezekano wa kutokea majanga ya moto yanayoweza kuzuilika!!
TANESCO NI KWA MARA NYINGINE TENA: Imeshinda tuzo ya Ukurasa Bora wa Serikali wa Mwaka (mitandao ya kijamii) kutoka Tanzania Digital Awards. Asante kwa kura yako na kwa kuendelea kufuatilia kurasa zetu za mitandao ya kijamii.
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY