ANNOUNCEMENTS:

HIGHLIGHTS

NEWS & EVENTS

loading...
May 11, 2024

TANESCO tunayo furaha kukutaarifu kuwa tumeteuliwa kuwania Tuzo za Tanzania Digital Awards (TDA) katika vipengele vya BEST GOVERMENT PAGE OF THE YEAR na BEST GOVERMENT AGENCY ON DIGITAL.  Hivyo, tunaomba kura yako ya thamani kwetu, ili tuweze kushinda...
Read More

loading...
May 11, 2024

Ndugu mteja,

Mrejesho wako ni muhimu katika kuendelea kuboresha huduma zetu, tafadhali tupe mrejesho wako katika huduma zetu kwa kubofya
https://twendeclass.tanesco.co.tz/dosurvey2.php?survey=QFRBTkVTQ08hKzEyOA==

Asante kwa mrejesho wako

TANESCO Huduma kwa Wateja


Read More

loading...
May 06, 2024

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kupitia idara ya usalama imetunukiwa tuzo ya msindi wa pili katika sekta ya uzalishaji umeme Tanzania,tuzo ambazo zimetolewa April 30,2024 na OSHA wakati wa kufunga maonesho ya kitaifa ya usalama na afya mahala pa kazi...
Read More

Showing 223-225 of 258 items.

FAQs

SURVEY

Customer Survey

Click here to take our

CUSTOMER SATISFACTION SURVEY