Karibu Kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho Mbeya ujionee utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa BWA LA JULIUS NYERERE kupitia Uhalisia Pepe
Read More
Karibu Kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho Mbeya ujionee utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa BWA LA JULIUS NYERERE kupitia Uhalisia Pepe
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango ametembelea banda la TANESCO katika kongamano la miundombinu Afrika (FIDIC) linalofanyika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNICC), Dar es Salaam.
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY