JNHPP MTAMBO NAMBA 7 TUMEWASHA
Read More
Zoezi la maboresho ya mfumo wa LUKU sasa ni zamu yenu linawafikia hivi karibuni . Msiache kufatilia taarifa kwenye mitandao yetu ya kijamii na vyombo vya habari kuhusu zoezi hili . Usibaki nyuma!! #MaboreshoLUKU#MitaYakoTunaKaziNayo
Akikagua ujenzi wa kituo cha kupokea, kupoza na kusambaza umeme Mpanda tarehe 09 Julai 2024, licha ya kuridhishwa na ujenzi wa mradi huo amehimiza wakandarasi kukamilisha kazi kwa wakati ili kwenda sambamba na mkataba.
“Tumekubaliana mwenzi wa tisa...
Read More
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY