Shirika la Umeme Tanzania,linawatangazia wateja wake wote wa Mikoa ya Mbeya na Songwe kuwa kuna katizo la dharura la umeme kwa muda wa masaa matatu.
Read More
Shirika la Umeme Tanzania,linawatangazia wateja wake wote wa Mikoa ya Mbeya na Songwe kuwa kuna katizo la dharura la umeme kwa muda wa masaa matatu.
Karibu Kwenye Banda la TANESCO kwenye maonesho Mbeya ujionee utekelezaji wa mradi mkubwa wa kimkakati wa Julius Nyerere.
TANESCO imetoa elimu kwa wananchi waliotembelea Banda La TANESCO katika maonesho ya Biashara na Utalii yanayoendelea katika viwanja vya Usagara, Mkoani Tanga.
Akizungumza Mei 31,2024 katika Maonesho hayo, Meneja wa TANESCO Mkoa wa Tanga Mhandisi Mathias Solongo amesema...
Read More
Hakikisha mita ya kwanza haina deni au haikuchezewa. Fika ofisi za TANESCO na kitambulisho utapatiwa fomu hakikisha unakuja na namba ya mita ya mwanzo. Baada... Read More
Jina halisi ni CIU na sio king’amuzi au remote,mteja anayeibiwa au kupoteza CIU anapaswa kutoa taarifa kituo cha polisi ili kupatiwa loss report... Read More
Click here to take our
CUSTOMER SATISFACTION SURVEY