ANNOUNCEMENTS:

HIGHLIGHTS

NEWS & EVENTS

loading...
May 11, 2024

Ndugu mteja,

Mrejesho wako ni muhimu katika kuendelea kuboresha huduma zetu, tafadhali tupe mrejesho wako katika huduma zetu kwa kubofya
https://twendeclass.tanesco.co.tz/dosurvey2.php?survey=QFRBTkVTQ08hKzEyOA==

Asante kwa mrejesho wako

TANESCO Huduma kwa Wateja


Read More

loading...
May 06, 2024

Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kupitia idara ya usalama imetunukiwa tuzo ya msindi wa pili katika sekta ya uzalishaji umeme Tanzania,tuzo ambazo zimetolewa April 30,2024 na OSHA wakati wa kufunga maonesho ya kitaifa ya usalama na afya mahala pa kazi...
Read More

loading...
May 04, 2024

Upepo wa Kimbunga Hidaya umeanza kuleta athari kwenye miundombinu ya umeme hasa baadhi  ya maeneo ya ukanda wa Pwani kwenye mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara na Pwani.  Hali hii  inaweza kuleta madhara kwa watu pamoja na mali...
Read More

Showing 22-24 of 56 items.

FAQs

SURVEY

Customer Survey

Click here to take our

CUSTOMER SATISFACTION SURVEY